Kiungo nyota wa Juventus ya Italia, Paul Pogba alitua jana na kushuhudia
mechi ya Ligi kuu ya Ufaransa ‘League 1’ huku mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic
akifunga mabao matatu.
Ibra ambaye yuko PSG alifunga mabao hayo matatu dhidi St Etienne
anayochezea mdogo wake Pogba.
Florentin Pogba alikuwa kwenye kikosi hicho wakati Zlatan akifanya mambo
yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment