October 25, 2014


Sare zimeendelea kuing’ang’ania Simba ya Dar es Salaam baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Prisons ya Mbeya.

Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sokione mjini Mbeya, Simba iliongoza kwa dakika 89, kabla ya Prisons kusawazisha.
Hiyo ni sare ya tano kwa Simba ambayo imecheza mechi tatu nyumbani tatu nyumbani Dar es Salaam na kutoka sare zote.
Simba ilipata bao lake mapema katika kipindi cha kwanza kupitia kwa Emmanuel Okwi.
Lakini mambo yakabadilika katika hatua za mwisho kabisa, baada ya Hamisi Mahingo kusawazisha.

Huo ulikuwa mchezo wa kwanza kwa Simba kucheza nje ya Dar es Salaam ambao wameumaliza kwa sare.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic