October 25, 2014


Ile rekodi ya mechi 38 bila kufungwa waliyokuwa nayo Azam FC kwenye Ligi Kuu Bara, sasa kwishney baada ya kufungwa bao 1-0 na JKT Ruvu.

Mechi hiyo imechezwa kwenye Uwanja wa ChamziChamaziLicha ya kuonyesha soka safi na kulisakama mfululizo lango la JKT, bao pekee la Samwel Kamutu katika dakika ya 45, liliendelea kubaki hadi dakika ya 90.

Maana yake hicho ni kipigo cha kwanza Azam FC kupokea katika msimu huu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic