November 28, 2014

Ligi Kuu England ngumu sana msimu huu, yoyote anayweza kumfunga yoyote.
Lakini Chelsea ya Jose Mourinho inaonekana kuwa kiboko, kina inayekutana naye ni kipiko akibahatika sare.

Chelsea imeifunga Swansea iliyozifunga Man United, Arsenal, Crystal Palace, Everton.
Sasa kikosi hicho cha Mourinho inakutana na Sunderland wikiendi hii, mechi ikiwa nyumbani kwa Black Cat yaani Stadium of Light. Je, watatibua mwendo wa Chelsea?



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic