Mshambuliaji Ramadel Falcao alitua kwenye pati akiongozana na mkewe ambaye tayari ni mjazmito. Mcolombia huyo alikuwa pekee aliyeibuka na mkewe akiwa katika hali hiyo.
Lakini wachezaji wengine wa Man United pia walihudhuria wakiwa na wapenzi na wake zao katika pati hiyo ya maandalizi ya Krismasi. Man United kwa sasa imekuwa na mwendo mzuri kwenye Ligi Kuu England baada ya kusuasua kwa muda. |
0 COMMENTS:
Post a Comment