Kaburu alitokea kwenye gym ya Chang'ombe na kuungana na wachezaji wa kikosi cha Simba waliokuwa wakijifua.
Alionekana kwenda nao pamoja huku akifuata vizuri mazoezi yaliyokuwa yakiendelea.
Hata hivyo, baadaye Kaburu alishindwa kuvumilia ugumu wa mazoezi, huenda pumzi ilikata, huyoo akajiondoa "kuepusha msongamano".
0 COMMENTS:
Post a Comment