Kikao cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu
Tanzania kilichoketi jumanne ya tarehe 24, Machi 2015 jijini Dar es
salaam, kimepitia taarifa mbalimbali za michezo iliyochezwa na kutoa adhabu kwa
wachezaji na vilabu vya Ligi Kuu ya Vodacom.
Mchezo namba 117
uliozikutanisha Simba SC dhidi ya Yanga SC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam, timu ya Simba
imepigwa faini ya sh. 300,000 (laki tatu) kwa mujibu wa Kanuni ya 14(9) kwa
kukataa kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Nayo klabu ya Yanga imepigwa
faini ya sh. 500,000 (laki tano) kwa mujibu wa Kanuni ya 42(11) baada ya timu
yake kuonyeshwa kadi zaidi ya tano kwenye mchezo dhidi ya Simba SC.
Kikao cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu
Tanzania kilichoketi jumanne ya tarehe 24, Machi 2015 jijini Dar es
salaam, kimepitia taarifa mbalimbali za michezo iliyochezwa na kutoa adhabu kwa
wachezaji na vilabu vya Ligi Kuu ya Vodacom.
0 COMMENTS:
Post a Comment