ZLATAN ARUDIA YALE WALIYOSEMA AMEBAHATISHA, CHEKI HILI BAO... Zlatan Inbrahimovic wa Sweden aliwahi kuifunga England bonge la bao akibinuka na kupiga tik tak. Sasa amewaonyesha tena kwa kufunga bao kali katika mechi ya kirafiki dhidi ya Iran ambayo Sweden iliibuka na ushindi wa mabao 3-1. Cheki mwenyewe.
0 COMMENTS:
Post a Comment