Andros Townsend ndiye muokozi wa England baada ya kupiga shuti kali lenye kasi ya 77.2 kilomita kwa saa ikiwa ni umbali wa yadi 23.
Bao hilo liliiwezesha England kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Italia iliyokuwa nyumbani baada ya kutangulia kwa kupata bao kupitia kwa Graziano Pelle. |
0 COMMENTS:
Post a Comment