July 2, 2015

MOJA...
Mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale ameonyesha mbwembwe za aina yake baada ya kufunga bao kwenye goli la mpira wa kikapu.


MBILI...
Bale amefanya hivyo kwa kupiga danadana huku akiwa amelipa goli hilo mgongo kabla kabya ya kuupiga mpira uliojaa moja kwa moja.

Bale anaonekana akifanya hivyo katika picha ya video iliyosambaa katika mitandao mbalimbali.


TATU...

NNE...
TANO... 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic