July 2, 2015

Hamisi Kiiza ‘Diego’ ametua jijini Dar es Salaam tayari kuanza kazi na Simba.

Kiiza aliyekuwa mshambuliaji tegemeo wa Yanga amesema amekuja kumaliza na Simba na mara moja kuanza kazi.
Lakini akasisitiza kwamba masuala ya Yanga yaachwe, maana yamepita.
“Nimekuja kufanya kazi na mwajiri wangu mpya, yale ya Yanga yamepita,” alisema Kiiza.
Kiiza aliongozana na mshambuliaji mwingine Simon Sserunkuma raia wa Uganda pia.


KIIZA AKIWA NA SSERUNKUMA




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic