November 28, 2015


Mshambuliaji Jamie Vardy wa Leicester City ni noma, na hakamatiki na sasa ameweka rekodi katika Ligi Kuu England baada ya kufunga bao katika mechi 11 mfululizo


Vardy amefunga bao hilo leo wakati timu yake ilipotoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Man United.

Sare hiyo imeshusha Leicester hadi katika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 28.


Lakini Vardy anaingia kwenye rekodi ya kufunga mechi 11 mfululizo za Ligi Kuu England na sasa ni kati ya washambuliaji wanaotikiza England na gumzo duniani kote.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic