November 29, 2015


Bondia Mwingereza mwenye maneno mengi, Tyson Fury ameonyesha kuwa si maneno tu badala hata kazi anaiweza baada ya kumtwanga mbabe Wladimir Klitschko mwenye miaka 40.

Katika pambano hilo lililofanyika Dusseldorf, Ujerumani, Fury amefanikiwa kumtwanga Klitschko kwa pointi katika pambano kali la kuwania ubingwa wa WBA, WBO na IBF.

Majaji walimpa Furry ,27, ushindi wa jumla ya pointi 115-113 za Klitschko ambaye alionekana kutokuwa katika kiwango chake kilicho sahihi.

Fury mara kadhaa alishambulia na kumbana mpinzani wake asitumie mkono wake wa kulia ambao ni hatari. Angalia MAPICHAZEEE


















PICHA: REUTERS

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic