December 23, 2016



Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe amepata mtoto wa kike aliyempa jina la Raiyan.

Tambwe raia wa Burundi, amemshukuru Mungu kutokana na mkewe kujifungua salama.

“Anaitwa Raiyan, tunamshukuru Mungu kwa yote,” alisema.


Kiungo Haruna Niyonzima aliongozana na mkewe pamoja na watoto wao mapacha kwenda kumjulia hali Tambwe na mkewe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic