December 22, 2016



Nahodha wa Tottenham, kips Hugo Lloris ameongeza mkataba na klabu hiyo hadi mwaka 2022.


Kipa huyo namba moja wa Ufaransa alijiunga na timu hiyo mwaka 2012.

Mkataba huo mpya wa miaka mitano, unakuwa moja ya mikataba mirefu kupewa wachezaji ndani ya klabu hiyo.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic