February 19, 2013




Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodeger Tenga ameomba kuzungumza na waandishi wa habari leo saa 8 mchana.
Tenga ambaye siku chache zilizopita alizungumza kuhusiana na suala la uchaguzi na kuwataka walioonewa kufuata utaratibu, haijajulikana leo atazungumza nini.
Msemaji wa TFF, Boniface Wambura amethibitisha kwamba Tenga atazungumza na waandishi wa habari lakini hakuweka wazi ni jambo lipi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic