February 19, 2013




Mashabiki Galasaray ya Uturuki wamethibitishwa kuwa ndiyo wenye kelele kuliko wengine wote duniani. Hali hiyo imetokana mshambuliaji wao mpya, Didier Drogba kukiri kuwa hajawahi kusikia kelele za mashabiki kama ambazo alizisikia katika mechi yake ya kwanza ya timu hiyo.

Katika mechi hiyo, Drogba aliingia akitokea benchi na kufunga bao hilo na mashabiki kwenye Uwanja wa Turk Telekon Arena jijini Istambul wakaanza kushangilia kwa nguvu.
Drogba alifananisha kelele za mashabiki hao sawa na kuwa mita 50 kutoka ilipo ndege ya kivita ambayo hutoa mlio wenye kelele na unaoumiza masikio.
Wakati fulani beki wa zamani wa Man United, Garry Neville alisema hajawahi kusikia kelele katika maisha yake kama alipocheza na timu hiyo ya Uturuki.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic