April 2, 2013



BYC II Imewasili leo jijini Dar es Salaam tayari kwa mchezo wake wa CAF Confederations Cup dhidi ya Azam FC utakaochezwa Jumamosi tarehe 6/04/2013.... Viingilio Mzunguko itakuwa Tsh.2,000 tu. wakati VIP A itakuwa 20,000, VIP B&C itakuwa 10,000 na Orange itakuwa 5,000.

Katika mechi ya kwanza mjini Monrovia, Azam FC ilishinda kwa mabao 3-1. Maana yake sare ya aina yoyote inaweza kuwapeleka mbele, ingawa wanatakiwa kuwa makini kwa kuwa ushindi wa mabao 2-0 kwa wageni unaweza kuwang'oa Azam FC.

source: AZAM FC

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic