May 24, 2013





Man City imeshinda mechi hiyo ya kirafiki kwa mabao 4-3, baada ya kuwa nyumba kwa mabao 3-0 hadi mapumziko. Kipute hicho kimepigwa St Louis nchini Marekani.

Chelesea ilitangulia kufunga kupitia Ba 14, Azpilicueta 45 (pen), Oscar 53.
Lakini Man City wakarudi kipindi cha pili na kuwashangaza watazamaji zaidi ya 48,000 waliokuwa uwanjani hapo.



Mabao ya Man City yalifungwa na Garcia 63, Dzeko 64, 85, Richards 90 na kuipa ushindi timu hiyo.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic