Msamba wa pili kulia... |
Mshambuliaji
wa zamani wa Simba na Sigara, Abdallah Msamba atazikwa kesho.
Mmoja wa
viongozi wa Sputanza, Mussa Kisoki amesema Msamba alifariki jana usiku saa nane.
“Kabla
alizidiwa muda kama saa sita, akapelekwa Lugalo lakini bahati mbaya mauti
yakamkuta,” alisema Kisoki.
Kuhusiana na
mazishi, Kisoki alisema Msamba atazikwa kesho saa 7 mchana katika Makaburi ya Magomeni
Makuti.
0 COMMENTS:
Post a Comment