YANGA (WABUNGE) WAILAZA SIMBA KWA PENALTI 3-2, WATWAA KOMBE Wabunge wa Yanga wakishangilia ushindi wao. Yanga wakipokea kombe lao kutoka kwa Shigongo na Waziri Fenella Mukangara. Eric Shigongo akiwa na kombe kabla ya kuwakabidhi Yanga. Waziri Fenella Mukangara akimvisha medali refa wa mchezo. Wabunge wa Yanga wakishangilia.
0 COMMENTS:
Post a Comment