Tottenham imemalizana na Valencia kuhusiana na usajili wa mshambuliaji wake Roberto Soldado.
Ili kumpata mkali huyo wa kupachika mabao Spurs italazimika kutoa kitita cha pauni milioni 26 ambayo ni rekodi kwake.
Awali msimu huu ilitoa pauni milioni 17 kumsainisha kiungo wa Corinthians ya Brazil, Paulinho.
Kutua kwa Soldado kuna maanisha Spurs iko katika hatua za mwisho za kumuuza kiungo wake nyota Garreth Bale kwa Real Madrid.
WALIOSAJILIWA: Roberto Soldado (Valencia, £26m), Paulinho (Corinthians, £17m), Nacer Chadli (FC Twente, £6m).
WALIOACHWA: William Gallas (released), John Bostock (Royal Antwerp, free), David Bentley (released), Jake Nicholson (released), Massimo Luongo (Swindon, loan), Adam Smith (Derby, loan), Ryan Mason (Swindon, loan), Steven Caulker (Cardiff, £9m).

0 COMMENTS:
Post a Comment