August 1, 2013




Ingawa imeonekana kuwashtua watu wengi lakini Dj Khaled hajarudi nyuma kuhusiana na uamuzi wake.
Amesema amepania kufunga ndoa na msanii mwenye vituko duniani, Nick Minaj ambaye ni msanii mwenzake katika lebo ya YMCMB.

DJ Khaled alifanya hivyo kupitia kipindi cha MTV na kueleza nia yake ya kutaka kufunga pingu ya maisha na Nick Minaj na kuonyesha pete ya almasi ambayo anataka kumvisha.

Bado watu wanasubiri kwa hamu majibu ya Minaj ambaye anajulikana kuwa msanii fyatu wa kike kuliko mwingine katika kipindi hiki.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic