Mbeya City imeendeleza ubabe baada ya kuichapa Kagera Sugar
kwa bao 1-0 ikiwa kwao mjini Bukoba.
Katika mechi hiyo ya kwanza ya Ligi Kuu Bara, Mbeya City
ikiwa ugenini imeonyesha mchezo wa upinani mkubwa na kuwapa wakati mgumu
wenyeji.
Timu hiyo inayonolewa na Juma Mwambusi ilikuwa tishio
katika mzunguko wa kwanza, hali iliyofanya wadau wengi wa soka kusubiri
mzunguko wa pili kama itaendeleza ubabe.
0 COMMENTS:
Post a Comment