HATIMAYE LWANDAMINA ATUA MAKAO MAKUU YA YANGA PALE JANGWANI Kocha George Lwandamina, leo ametua rasmi na kukanyaga makao makuu ya Yanga. Taswira mbili zinamuonyesha Lwandamina akiwa makao makuu ya klabu hiyo ambako alifika leo mchana.
0 COMMENTS:
Post a Comment