MANJI AKIWA NA MAKAMU WAKE, CLEMENT SANGA |
Kampuni
ya Quality Group Limited imetoa Sh milioni 10 kwa Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF) kwa ajili ya kuunga mkono mikakati ya shirikisho la katika kuendeleza
mpira wa miguu nchini.
Mchango
huo wa Quality Group utatumika katika programu mbalimbali za kuendeleza mpira
wa miguu nchini ambapo tunaishukuru kampuni hiyo kwa kuunga mkono mikakati
yetu.
Quality
Group ni kampuni inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ambaye
amekuwa mwanamichezo anayechangia katika michezo.
0 COMMENTS:
Post a Comment