RONALDO, MAYWEATHER WAKUTANA NA KULA BATA PAMOJA NYOTA WAWILI WA SOKA, CRISTIANO RONALDO NA NGUMI, FLOYD MAYWEATHER WAMEKUTANA NA KULA BATA KWA KIPINDI FULANI. RONALDO AMETUNDIKA PICHA HIYO KWENYE INSTAGRAM NA KUELEZA ALIVYOFURAHIA KUWA PAMOJA NA BINGWA HUYO ASIYEPIGIKA KATIKA NGUMI.
0 COMMENTS:
Post a Comment