Iwapo Lionel Messi atafunga
mabao mawili katika mechi ya Jumamosi wakati Barcelona itakapoivaa Athletic
Bilmbao, atakuwa amefikisha mabao 400.
Messi ,27, tayari ana mabao
398 aliyofunga, mgawanyiko uko hivi. Amefunga 356 kwa Barcelona na 42 kwa
Argentina.
Kati ya hayo, manne
aliifungia Argentina wakati wa Kombe la Dunia nchini Brazil na timu hiyo
ilifika fainali na kufungwa bao 1-0 dhidi ya Ujerumani.
0 COMMENTS:
Post a Comment