October 15, 2014

 Habari njema kwa mashabiki na wanachama wa Simba baada ya kurejea kwa kipa wao namba moja, Ivo Mapunda.

Mapunda aliyevunjika kidole kwenye mazoezi ya Simba mjini Zanzibar, ameanza mazoezi katika kambi ya Simba jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Ivo alifanya mazoezi jana chini ya kocha Zdravko Djekic akishirikiana na kinda Peter Manyika.
Kuumia kwa Ivo ilikuwa ni sehemu ya kilio cha Simba kuhusiana na lundo la majeruhi.
Hata hivyo bado haijajulikana kama Ivo atacheza mechi ya Oktoba 18 dhidi ya watani wao Yanga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic