Kocha Marcio Maximo amekuwa akiwafundisha wachezaji wake kutandaza soka la chini na mipango kuelekea mechi ya Oktoba 18 dhidi ya watani wao Simba.
Katika mazoezi ya Yanga kwenye Uwanja wa Boko Veterani nje ya jiji la Dar, wachezaji hao walikuwa wakipiga pasi nyingi kwa kasi wakionyesha wanatafuta kitu.
Mara kadhaa, Maximo alikuwa akiwasisitiza kucheza soka la chini na kuhakikisha hawapotezi mipira hovyo.
Pia alitaka wachezaji kujiamini na kila wanapoona wako kwenye hatari ya kupoteza mpira, basi mara moja wautoe kwa wenzao.
Mara kadhaa, aliwataka kucheza kitimu zaidi kwa kuwa ndiyo jambo sahihi.

0 COMMENTS:
Post a Comment