Ikiwa katika harakati za kujiandaa na mechi yake dhidi ya watani wake Simba, Yanga imeweka kambi kwenye Hoteli ya LandMark. LandMark ya Mbezi jijini Dar es Salaam ndipo walipojichimbia Yanga kujiandaa na mechi hiyo ya Oktoba 18. Pitia picha hizi ili kuangalia mazingira ya hoteli hiyo ambayo Yanga wamejichimbia hadi keshokutwa kwa ajili ya mechi hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment