Barcelona football club ndiyo
kikosi pekee barani Ulaya ambacho hakijafungwa hata bao moja katika ligi.
Juve nayo ilikuwa iko kwenye
rekodi hiyo, lakini bao lililofungwa na nahodha wa AS Roma, Francesco Totti
liliwaondoa kabisa kwenye listi hiyo.
Sasa Barcelona inabaki kuwa
timu pekee ya Ulaya ambayo haijafungwa hata bao moja kwenye ligi.
Ikiwa na kipa Abel Resino
katika goli, Barcelona imecheza jumla ya dakika 1,275 na kufunga mabao 26
lakini haijafungwa hata bao moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment