Kikosi
cha Yanga, tayari kimetua salama mjini Bukoba tayari kwa mechi yake ya Ligi Kuu
Bara dhidi ya wenyeji wake, Kagera Sugar, keshokutwa.
Yanga
imetua Bukoba ikitokea mjini Kahama ambako iliweka kambi ya muda na kucheza
mechi moja ya kirafi.
Msemaji
wa Yanga, Baraka Kizuguto ameiambia SALEHJEMBE kwamba wamefika salama.
“Ni
safari ya takribani masaa sita, tunamshukuru Mungu tumefika salama.
“Kwa
sasa siwezi kuzungumza mengi, ndiyo tumefika na tunashusha mizigo kwenye gari,”
alisema.







0 COMMENTS:
Post a Comment