Barcelona imeshinda kwa mikwaju 4-2 ya penalti na kufanikiwa kutwaa ubingwa Super Cup upande wa Catalan.
Barcelona imeifunga Espanyol baada ya sare ya 1-1 katika muda wa kawaida. Ila furaha zaidi kwa mshambuliaji Luis Suarez ambaye amebeba kombe la kwanza akiwa na Barcelona ambayo ameichezea mechi chini ya tano.
Barcelona: Masip, Adriano (Grimaldo 73), Pique (Ie 46), Bartra, Alba (Alba 46), Samper (Halilovic 75), Sergi Roberto (Xavi 61), Rafinha (Rakitic 61), Munir, Suarez (Adama 46), Pedro (Sandro 46).
Sub not used: Ter Stegen.
Goal: Pique 16.
Booked: Adama.
Espanyol: Pau, Mattioni (Victor Sanchez 46),
Raul Rodriguez, Victor Alvarez (Joan Jordan 46), Salva Sevilla (Abraham 46),
Alex (Luque 46), Clerc (Duarte 46), Arbilla, Jairo, Bailly, Pol Llonch (Mamadou
46).
Subs not used: German, Alvaro, Hector R.
Goal: Arbilla 51.
Booked: Raul Rodriguez.
Att: 5,110.
Penalty shoot-out:
Barcelona scored: Xavi, Halilovic, Grimaldo,
Rakitic.
Barcelona missed: Sandro.
Espanyol scored: Victor Sanchez, Jordan.
Espanyol missed: Arbilla, Abraham.









0 COMMENTS:
Post a Comment