Ajabu! Kwa wale waliofuatilia mechi ya
Kagera Sugar dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba watakuwa
wameshuhudia gari la Polisi aina ya Land Rover Defender likikatiza katikati ya
uwanja!
Gari hilo lilikuwa na Polisi waliokuwa
wameingia uwanjani kuzuia vurugu.
Badara ya askari hao kushuka, gari liliingia
katikati ya uwanja bila ya kutambua kuwa huo ni uwanja wa soka.
Wengi waliokuwa wakishuhudia mechi hiyo
kupitia Azam TV walionyesha kushangazwa sana na hali hiyo.







0 COMMENTS:
Post a Comment