ROONEY AREJEA KWENYE SHULE ALIYOSOMA AKIJIANDAA KUFIKISHA MECHI 100 Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney anajiandaa kucheza mechi ya 100 akiwa na timu ya taifa ya England. England itaivaa Slovenia Jumamosi lakini amechukua uamuzi wa kurejea kwenye shule ya Chekechea na kupiga stori na watoto wanaosoma kwenye shule hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment