Kikosi cha
Stand United kimesema kilikuwa ndiyo kimesha moto, lakini kusimama kwa Ligi Kuu
Bara kutaiadhiri.
Kocha
Msaidizi wa Simba, Bilal ‘Bilo’ amesema ndiyo walikuwa wameanza kupata kasi
baada ya kuitungua Mbeya City bao 1-0
“Ndiyo
tulikuwa tumeanza kuchanua na kasi yetu ilikuwa imekaa vizuri.
“Sasa ligi
imezimama, hii si nzuri sana kwa kuwa baadaye tutalazimika kutafuta kasi upya.
“Hatuna
ujanja kwa kuwa hatuwezi kulazimisha na tutalifanyia kazi jambo hili,” alisema
Bilo.
Stand yenye udhamini wa Double Star kutoka kampuni ya kuuza matairi na betri za magari ya Bin Slum Tyres Ltd, imepanda Ligi Kuu Bara msimu huu ni kati ya timu ambazo zimekuwa zikionyesha
soka la kuvutia.
0 COMMENTS:
Post a Comment