December 22, 2014



Mabingwa Tanzania Bara, Azam FC wamepangwa kucheza na El Merreikh ya Sudan.


Mechi hiyo ya Ligi wa Mabingwa Afrika itakuwa ya kwanza kwa Azam FC katika kampeni zao za kuwania kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Hii ni mara ya kwanza timu hiyo kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Taarifa ya Caf inaonyesha Azam FC itaanzia nyumbani Dar es Salaam na kumalizia ugenini Kharthoum.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic