Hii ni moja ya picha zilizopigwa kwenye mazoezi ya Yanga ambazo zinavutia ni jinsi Kocha Hans van Der Pluiijm anavyoonyesha yuko fiti.
Kocha huyo amekuwa akiongoza mazoezi akionyesha yu fiti na wakati mwingine amekuwa akirusha miguu au kuruka utafiki kijana. Duh!
|
0 COMMENTS:
Post a Comment