Siku chache zilizopita David Beckham alipata ajali ya gari akiwa ametokea kwenye mazoezi ya timu ya vijana ya Arsenal. Baada ya kumchukua Brooklyn, gari aina ya Audi alilokuwa akiendesha liligongwa, lakini baadaye alifanikiwa kutoka salama pamoja na mwanaye.
0 COMMENTS:
Post a Comment