December 22, 2014

 Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametengenezewa sanamu maalum.



Sanamu hiyo limewekwa katika mji wa kisiwa cha Madeira nchini Ureno alikozaliwa mwanandinga huyo.

Ronaldo aliungana na familia yake, wakiwemo mama, kaka na dada zake kwenda kuzindua sanamu hilo.

Pamoja na sanamu, Ronaldo ana makumbusho maalum kwa ajili yake katika kisiwa cha Madeira.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic