December 20, 2014

Mshambuliaji kinda wa Liverpool, Raheem Sterling ameshinda tuzo ya has European Golden Boy kwa mwaka 2014.

Sterling ameshinda tuzo hiyo inayomtambua kijana wa dhahabu wa Ulaya.

Kawaida huwashirikisha vijana wote ambayo wanashiriki michuano ya Ulaya kuanzia ngazi ya klabu na timu za taifa.


Kwa England, mara ya mwisho, tuzo hiyo alishinda Wayne Rooney, mwaka 2004.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic