Tokea mwaka 2008 wakati Man City ilipomwaga pauni milioni 32.5 kumsajili Mbrazil, Robinho imekuwa ikiendelea kumwaga fedha kama ubwabwa.
Kwa kipindi cha miaka sita, Man City imesajili mafowadi 10, imetoa jumla ya pauni milioni 300 na kuifanya iwe klabu iliyotoa fedha nyingi kwa washambuliaji.
Hata hivyo washambuliaji wengi kama Emmanuel Adebayor, Jo, Mario Balotelli, Alvaro Nagredo na Roque Santa Cruz hawakufanya vizuri sana.
Sasa imesajili Wilfred Bony raia wa Ivory Coast aliyekuwa anakipiga Swansea.








0 COMMENTS:
Post a Comment