January 15, 2015


Mashabiki wa Mbeya City wakiwa njiani kwenda Mwanza kuivaa Kagera, watasimama kwa muda mjini Mbeya.


Kikosi cha Mbeya City kimekuwa cha kwanza kumtembelea kiungo wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe.

Mashabiki hao zaidi ya 200 watakuwa njiani kwenda Mwanza kuiunga mkono timu yao itakayokuwa ikipambana Kagera Sugar kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

Uamuzi huo ni kwenda kumfariji kiungo huyo shujaa wa Simba wakati wakiing'oa Zamalek kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2003.

Massawe amekuwa mgonjwa taabani na kumekuwa kukiandaliwa mpango maalum kwa ajili ya kumchangia.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic