![]() |
| YAYA AMESHINDA TUZO YA MWANASOKA BORA KWA MWAKA WA NNE MFULULIZO. |
Kiungo
mchezeshaji wa Manchester City, Yaya Toure ameibuka na kushinda tuzo ya
mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2014.
Ushindi
huo wa Toure unamfanya awe amechukua tuzo hiyo mara nne mfululizo.
Raia huyo wa Ivory Coast amewashinda mshambuliaji wa Borussia Dortimund raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang na kipa wa Nigeria Vincent Enyeama.
Toure ameingoza Man City kubeba ubingwa wa England huku yeye akiwa amepachika mabao 20 na kuwa kiungo mwenye mabao mengi zaidi England.








0 COMMENTS:
Post a Comment