Kiungo wa Manchester United,
Darren Fletcher ametua West Bromwich Albion kwa mkataba wa miaka mitatu na
nusu.
Fletcher ,30, amekuwa kati
ya wachezaji waliohama timu moja kwenda nyingine katika hatua za mwisho za
dirisha la usajili.
Kiungo huyo mkongwe ametua
Wes Brom likiwa limebaki saa moja kabla ya dirisha kufungwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment