Kipa mkongwe na mwenye uwezo mkubwa, Iker Casillas inaelezwa amekuwa hana raha kabisa unapofikia wakati huu.
Wakati wa El Clasico, yaani leo pale Real Madrid itakapokuwa ugenini dhidi ya Barcelona.
Hofu yake kupoteza, kufanya vibaya. Lakini watu hawa watatu ni presha kubwa kwake. Lionel Messi, Neymar na Luis Suarez. eeh!

0 COMMENTS:
Post a Comment