Inaonekana
mchezaji akitawazwa kuwa mchezaji bora wa dunia na kubeba ile tuzo ya BallonD’or
basi uwezo wake wa kufunga unaporomoka.
Ilimtokea
Lionel Messi na sasa imemtokea Cristiano Ronaldo.
Kabla ya
kutwaa tuzo Messi alipiga bao 33, alipotwaa akafunga 18. Ronaldo kabla,
alifunga 33 alipobeba tuzo akafunga nane tu nab ado anahangaika ile mbaya hadi
sasa.
Hata hivyo
utaona bado inaonekana Messi ndiye mchezaji bora na hatari zaidi katika mchezo
wa soka. Hana mpinzani kwa kuwa hata Ronaldo anayechuana naye anaachwa mbali.
Kwa kipindi
hiki, Real Madrid wamelazimika kumpa Ronaldo mazoezi maalum ili kurejesha
kiwango chake kabla ya mechi ya El Clasico wakiwa ugenini Camp Nou.
WAFUNGAJI
BORA KATIKA MICHUANO YOTE MSIMU HUU
Lionel
Messi Barcelona 43
Cristiano
Ronaldo Real Madrid 41
Alexandre
Lacazette Lyon 27
Harry Kane Tottenham 26
Neymar Barcelona 26
Sergio
Aguero Man City 23
Gonzalo
HiguainNapoli 23
Carlos Tevez Juventus 23








0 COMMENTS:
Post a Comment