Charie Adam sasa ni gumzo kutokana na bao
lake alilowafunga Chelsea.
Chelsea iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi
ya Stoke City katika mechi ya Ligi Kuu England na kuzidi kujichimbia kileleni.
Kipa Thibaut Courtois alifanya mzaha kwa kuwa mbele ya lango na Adam
akamuona akifanya kosa hilo mara kadhaa.
Adam aliitumia nafasi hiyo kufunga bao hilo umbali wa mita 60.
0 COMMENTS:
Post a Comment