Etoile su Sahel inashuka dimbani leo kuwavaa
Benfica wataiaokuwa nyumbani Angola katika mechi ya pili ya Kombe la
Shirikisho, leo.
Mshindi kati ya Etoile dhidi ya Benfica
ndiye atakutana na Yanga katika mechi inayotarajiwa kupigwa kati ya Aprili 17 ma 19.
Yanga tayari imefuzu katika hatua
inayofuatia baada ya kuitoa FC Platinum kwa jumla ya mabao 5-2.
Kwa Etoile yenye ilishinda kwa bao 1-0
nyumbani Tunis, sasa inachotakiwa leo kulinda ushindi wake tu.
0 COMMENTS:
Post a Comment